Tuesday , January 7 2025

Eunice Njeri – Ameni Lyrics

Welcome to our Music & Lyrics section. You are reading Eunice Njeri – Ameni Lyrics. Download the audio by clicking the download button at the bottom of this page. Be blessed as you sing along.

Eunice Njeri – Ameni Lyrics

Usifiwe Mungu Muumba mbingu na nchi yote
Amen (amen) amen
Jehovah Adonai Jehovah El-Shadai
Amen (amen) amen
Uko kila mahali Baba dunia yakutambua
Amen (amen) amen
Ukisema Yawheh nani apingane nawe
Amen (amen) amen

Halelluyah (halleluyah)
Halleluyah (halleluyah)
Wewe ni Mungu Mfalme Bwana wa mabwana
Halelluyah (halleluyah)
Halleluyah (halleluyah)
Wewe ni Mungu Mfalme Bwana wangu

Tuko salama chini ya mbawa Zake
Amen (amen) amen
Kanisa sote tu imara tumesimama palipo sawa
Amen (amen) amen
Tumepewa nguvu mamlaka na uwezo
Amen (amen) amen
Usifiwe wewe uliye juu sana
Amen (amen) amen

Halelluyah (halleluyah)
Halleluyah (halleluyah)
Wewe ni Mungu Mfalme Bwana wa mabwana
Halelluyah (halleluyah)
Halleluyah (halleluyah)
Wewe ni Mungu Mfalme Bwana wangu

Hakuna silaha kinyume itakayofaulu
Amen (amen) amen
Aliye ndani yetu ni Mkuu zaidi ya tunayemuona
Amen (amen) amen
Tumepewa nguvu mamlaka na uwezo
Amen (amen) amen
Usifiwe Wewe uliyeshinda yote
Amen (amen) amen

Tunaikuinua (Halleluyah)
Tunaikuinua (Halleluyah)
Wewe ni Mungu Mfalme Bwana wa mabwana
Halelluyah (halleluyah)
Halleluyah (halleluyah)
Wewe ni Mungu Mfalme Bwana wangu x2

DOWNLOAD MUSIC

Thank you for reading Eunice Njeri – Ameni Lyrics. Check out more lyrics on our Music & Lyrics section.