Saturday , December 21 2024

Nandy – Wanibariki Lyrics

Welcome to Acken Blog Gospel Music Lyrics section.

You are viewing Nandy – Wanibariki Lyrics. Download the audio by clicking the download button at the bottom of this page.

Be blessed as you sing along.

Nandy – Wanibariki Lyrics

Mmmmmmh mmmmmmh baba
Ni we pekee wanijua vyema
Kwko sitetereki kamwe
Wanitenda mema na kunpa heshma
Umenfanya nsimame
Na km nkishikwa na shida
Ntakimblia hekaluni mwako
Ntajiza nafc mbele yako bwana

Ntasema yote yanayonishndaaa
Nlpo mie na ww upooo
Nlpo mie na ww upo bwana (2x)
Aaaaaah wanibarikiii eeeeh
Sitokuacha milele aaaaaah
Wanilinda mie aaaaanh
Ntakuabudu milele (2x)

Hakuna giza tena wala hakuna mashaka
Umenvua lana umenivika baraka (uuuuh)
Moyo wangu wakutamani ewe baba
Nafsi yng yakulilia aaaah
Umenijaza imani sio haba
Neno lako mashikiliaaaa

Umenshka mkono wako (asantee asantee)
Umenivusha magumuu (asantee asantee)
Nlipo mie na wewe upoo
Nlpo mie na ww upo bwana (2x)
Aaaaaaaaaanh wanibarikii eeeeh
Sitokwacha milele (aaaaanh)
Wanilinda mie eeeeeh
Ntakuabudu milele milele (2x) milele
Milele milele mileleeee oooooh baba aaaaah
Wanibariki mimi wabariki na wao

DOWNLOAD MUSIC

Thank you for viewing Nandy – Wanibariki Lyrics. Check out more lyrics on our Gospel Music Lyrics section.