Thursday , January 9 2025

Ruth Sifa – Tulicheka Lyrics

Welcome to Acken Blog Music & Lyrics section.

You are viewing Ruth Sifa – Tulicheka Lyrics. Download the audio by clicking the download button at the bottom of this page.

Be blessed as you sing along.

Ruth Sifa – Tulicheka Lyrics

Intro
Vile mungu aligeuza[when the lord turned again] Utumwani wa zayuni[the captivity of zion] Ilikuwa kama tuotwavyo[we were like them that dream] Ndipo vinywa vyetu vilijaa[then our mouth was filled ] Na kicheko shangwe za kelele[with laughter and our tongue with singing] Tukasema kwa mataifa [then we said among the nations] Mungu wetu ametutendea[the lord has done us great things] Mambo makuu twafurahia[whereof we are glad]

Tulicheka ah aha aha[we laughed ahahaha] Tuliimba eye eye [we sang eyeyeyeye] Tukisema bwana umetutendea makuu.[saying the lord has done us great things] Tulicheka ah aha aha[we laughed ahahaha] Tuliimba eye eye [we sang eyeyeyeye] Tukisema bwana umetutendea makuu.[saying the lord has done us great things]

Instrumental

Kama sarah naye hanah[like sarah and hannah] Huitwa tena tasa[you will never again be called barren] Kama yabezi utabadilishwa[like Jabez u will be changed] utaitwa mwenye Baraka[you will be called blessed] Kama sarah naye hannah[like sarah and hannah] Huitwa tena tasa[you will never again be called barren] Kama yabezi utabadilishwa[like Jabez u will be changed] utaitwa mwenye Baraka[you will be called blessed]

Tulicheka ah aha aha[we laughed ahahaha] Tuliimba eye eye [we sang eyeyeyeye] Tukisema bwana umetutendea makuu.[saying the lord has done us great things] Tulicheka ah aha aha[we laughed ahahaha] Tuliimba eye eye [we sang eyeyeyeye] Tukisema bwana umetutendea makuu.[saying the lord has done us great things]

Instrumentals

Kama Paulo naye sila [like paul and silas ] Hutaitwa tena mfungwa[you will you will not be called a prisoner] Kila laana kila aibu[every curse and shame] Hivi leo itabadilishwa[today will be reversed] Utaimba na Utacheka [you will sing and laugh] Utasema Bwana amenitendea[you will say the lord has done great things]

Tulicheka ah aha aha[we laughed ahahaha] Tuliimba eye eye [we sang eyeyeyeye] Tukisema bwana umetutendea makuu.[saying the lord has done us great things] Tulicheka ah aha aha[we laughed ahahaha] Tuliimba eye eye [we sang eyeyeyeye] Tukisema bwana umetutendea makuu.[saying the lord has done us great things]

Instrumentals

DOWNLOAD MUSIC

Thank you for viewing Ruth Sifa – Tulicheka Lyrics. Check out more lyrics on our Music & Lyrics section.